Kozi unazoweza kusoma kama ulisoma combi ya CBGUlisoma kombi ya CBG? hizi hapa options zako za kozi unazoweza kuzisoma chuoni.

Kujiunga magroup ya UNI Goals : http://wa.me/+255683676795

Usisahau kushare na wengine.

Update : Kozi za medicine zimetolewa kwa watu waliosoma CBG kwa Tanzania. Ukizisikia nimezitaja hapa ni kwa vile hii video niliirekodi wakati bado mambo hayajabadilika.

source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *